carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Huyo anaitwa mchina mzee wa kuharibuEmbu niambie sehemu gani?
Huyo anaitwa mchina mzee wa kuharibuEmbu niambie sehemu gani?
Nipo lkn ujueNilikua nakusubiri nianze kujishaua humu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahaUzi unakimbia zaidi ya treni la magu...!! Wewe mmwaga likes hizo...!! Mkono wa birika hakuna hapa
Eti nini, mbona sielewiUmeona kumbe bora nilijua mimi pekeangu
Kichwa yupo na carbaNimeona mama,niambie sammyluv,leo umekuwa mpweke sana.Kichwa kakabwa na limama kule hadi anatia huruma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Magari ya delaya yamekufurusha huko usidanganye watu kichwaNimerudi mama!
Maana nilipotoka hofu yangu kwako carbamazepine
Hahaa sijui alifichwa wapi leo mana ndo anaonekana saivNimeona mama,niambie sammyluv,leo umekuwa mpweke sana.Kichwa kakabwa na limama kule hadi anatia huruma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mzee wa ini...karibuWana likes
Anhaa!mi ndo nishapenda hata kama mbovuHuyo anaitwa mchina mzee wa kuharibu
Mzee wa harakati[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Muzee wa ikwiriri nakusalimia,babe S ajambo?