Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ulinzi wa Koulibaly ni wa muhimu sana bro, ujue siku hizi mlinzi ana thamani sana, kuwa makini tu usije chukua mlinz kama yule wa liver,, uchochoro ule [emoji23][emoji23]
😀 😀 Yule anaepewa sifa asizostahili au yule aliekutana na Sterling adi akahamishwa namba?

Uzuri wangu me ni kocha mchezaji beki ikizingua kabisa nakula daluga mwenyewe, clean sheet muhimu sana bro
 
Niitie Cole Williams aje asikie kilio changu huku[emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], Cole ongeza na hizi



Now I'm running late
And I'm not a coffee drinker
But I lost sleep just thinking of you
So pour me a cup
I need to wake up
I need me some love
Now give it to me

Cause everywhere you go I'll follow you
I'll give you all of me, give me all of you
I gotta go sometimes
But you're always on my mind
 
😀 😀 Yule anaepewa sifa asizostahili au yule aliekutana na Sterling adi akahamishwa namba?

Uzuri wangu me ni kocha mchezaji beki ikizingua kabisa nakula daluga mwenyewe, clean sheet muhimu sana bro
Yule yule ambaye huwa anateswa na vitoto vidogo [emoji16][emoji16]

Kwa hilo huwa nakuaminia mzee mwenzangu hapo huwa haulazi damu
 
Sana aise, nawaona kabsa Inter wamerudi kwenye form, Bibi vizee wa Torin wako na presha sana..kumbuka game ya Inter na Barcelona uefa hii, inter waliupiga mwingi tu na wakiwa ugenini bado

Upinzani sasa umeongezeka,tulizoea Napoli pekee, ila kwa kasi hii ya Inter ya msimu huu, naona kabsa Conte anataka kukomesha ufalme wa Juve..

Lukaku ana furaha sana bro, japo anapambana na vikwazo vya ubaguzi lakn unaona kabsa ni mwenye furaha akicheza ndani ya Inter
Game dhidi ya Barcelona niliangalia huku nikiwa na presha kubwa sana, hapa nawawaza kwenye marudiano sijui itakuaje tu ....

Acha tuwaone kama moto wao utaendelea hivi hivi mpaka mwisho wa msimu au ni nguvu ya soda tu ...

Italy swala la ubaguzi naona wameshindwa kulidhibiti kabisa yani jamaa wanazingua sana kama una roho nyepesi kule huwezi kuishi
 
.
20191110_123249.jpeg
 
Back
Top Bottom