moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Tangu lini umehamia Yanga kamanda[emoji23][emoji23]
Yanga yangu dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yanga yangu dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mi utaniweza basi? Nina urafiki wa kudumu na timu zinazopenda kufungwa fungwa sijui kwa nini [emoji16][emoji16][emoji16]Tangu lini umehamia Yanga kamanda[emoji23][emoji23]
Mi utaniweza basi? Nina urafiki wa kudumu na timu zinazopenda kufungwa fungwa sijui kwa nini [emoji16][emoji16][emoji16]
Wanasemaga kosea kujenga utabomoa lakini siyo kuoa !!!
A jamani.
Unapenda sana miamala eeeh!? Hata ukiambiwa uikane Livapuu?A jamani.
Hata Kama Nina homa napona[emoji1787]
Hawa Ni wasukuma
Kwani wasukuma wanachekaje?nacheka kisukuma Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unapenda sana miamala eeeh!? Hata ukiambiwa uikane Livapuu?
Muulize SYB ana majibu mazuri[emoji23][emoji23]Kwani wasukuma wanachekaje?
Weka hata picha yao tu wakiwa wanacheka, ntajiongeza [emoji2][emoji2]Muulize SYB ana majibu mazuri[emoji23][emoji23]
SYB njoo utoe mfano hapa wa vicheko vyenu[emoji1787]Weka hata picha yao tu wakiwa wanacheka, ntajiongeza [emoji2][emoji2]