Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1261004
Adorable ❤❤
Mambo ni hivi 💥💥💥💥💥Kwa ajili yako bae 😍
Ubarikiwe pia 🙏 na siku yako ikawe njema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1261142[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🔥🔥Mambo ni hivi 💥💥💥💥💥
Pamoja kaka, tuwe na siku njemaFresh... pande hizi mambo ni yente
Acha tu ndugu yangu, imebidi niimalishe ulinzi wa kutosha 😃😃Ahsante.
Naona jana milki ilitikiswa kidogo😀😀😀
Jirani town kuna mvua?
Pamoja kaka, tuwe na siku njema
Eti kaka kwani we bae wako mbona hutaki kututambulisha walimwengu tumfahamu😁😁Mambo ni hivi 💥💥💥💥💥
Bado sijapata.Eti kaka kwani we bae wako mbona hutaki kututambulisha walimwengu tumfahamu😁😁
Aiseee 😁😁😁😁Bado sijapata.
#nioneeHurumaBasi
Una sh. Ngapi nikupe like yanguNimekuja kuchukua likes za bure bure humu.
Nataka nikuoe kabisa ule vyangu,kwa kujinafasi. Unasemaje hapo ?Una sh. Ngapi nikupe like yangu