Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbunge wa Bumbuli January Makamba amesema hana uhakika kama atagombea tena Ubunge mwakani ila atafanya maamuzi akiwa mapumzikoni December.
_
January alikua akimjibu mmoja ya followers wake Twitter aliemuandikia ‘natumai mwaka 2025 nitakuona ukiwa Mgombea Urais” ambapo alimjibu kwa kusema ‘sina uhakika na hilo, sina hata uhakika kama nitagombea Ubunge tena mwaka ujao’
 
cafa695d-1c5f-43b3-bcf9-7870e6cfb38d.jpeg
 
Back
Top Bottom