Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baharia anaogopa kutolewa upepo?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hahahahahaha

Hapa inabidi baharia amgeuzie mchezo, aivuruge formation ya mkewe ili autawale mchezo.

Hapo possession inasoma 80% kwa 20%

#ifYouKnowYouKnow
#salamuBro
Haha!
Hivi huoni kama hii game baharia kashapoteza?
B.p ya 80% kwa 20% akubali tu kusaidiwa kazi.
#anageuzajemchezoeti[emoji23][emoji23][emoji23]...

Kwema mtani?
 
Haha!
Hivi huoni kama hii game baharia kashapoteza?
B.p ya 80% kwa 20% akubali tu kusaidiwa kazi.
#anageuzajemchezoeti[emoji23][emoji23][emoji23]...

Kwema mtani?
Mtani, kanuni na mbinu za kugeuza mchezo sisi kama mabaharia tulishakubaliana kuwa hatutawaambia timu pinzani.

Ombi lako lipo nje ya uwezo wangu mtani😀😀😀.

Kwema kabisa, siku inaendaje hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…