Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16]
464021790_250934.jpeg
 
Mtani, kanuni na mbinu za kugeuza mchezo sisi kama mabaharia tulishakubaliana kuwa hatutawaambia timu pinzani.

Ombi lako lipo nje ya uwezo wangu mtani[emoji3][emoji3][emoji3].

Kwema kabisa, siku inaendaje hapo?
[emoji23][emoji23]mtani bhana
Basi mkubali tu huyu baharia keshachapiwa.

Huku kwema kabisa nashukuru Mungu
 
Back
Top Bottom