myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asante sanaWakulima wote poleni sana
[emoji120][emoji120][emoji120]Wagonjwa Mungu awaponye..
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Salama pia.
#HuuUMDNiWaHapaTu
#KwahiyoHongeraZinaishiaHapa[emoji3]
#MrudishieKingNywila
[emoji23][emoji23][emoji23] usimsikilize shetani huyo[emoji849]View attachment 1263079
Apumzike kwa amani. Safari yake imekamilika. Bado yetu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
#KuchapiwaHakuepukiki [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Haha!
Hivi huoni kama hii game baharia kashapoteza?
B.p ya 80% kwa 20% akubali tu kusaidiwa kazi.
#anageuzajemchezoeti[emoji23][emoji23][emoji23]...
Kwema mtani?
Baharia bomu huyu. Watu tunapambana mpaka tunakaribia kukata roho tukipambania heshima ya ukoo halafu yeye anazingua. Akubali tu achapiwe kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]Baharia anaogopa kutolewa upepo?
[emoji23][emoji23][emoji23]