Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Gauge ikifika karibu na ya yule mnaigeria uache bro😀😀😀.Baharia bomu huyu. Watu tunapambana mpaka tunakaribia kukata roho tukipambania heshima ya ukoo halafu yeye anazingua. Akubali tu achapiwe kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23]mtani bhanaMtani, kanuni na mbinu za kugeuza mchezo sisi kama mabaharia tulishakubaliana kuwa hatutawaambia timu pinzani.
Ombi lako lipo nje ya uwezo wangu mtani[emoji3][emoji3][emoji3].
Kwema kabisa, siku inaendaje hapo?
#freeKD[emoji124][emoji124][emoji124][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
#SirudishimpakaWekeend
[emoji23][emoji23][emoji23]Baharia bomu huyu. Watu tunapambana mpaka tunakaribia kukata roho tukipambania heshima ya ukoo halafu yeye anazingua. Akubali tu achapiwe kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]
Naunga mkono hoja[emoji125][emoji125][emoji125]Akili za kuambiwa always changanya na zako [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1263118
Tatizo gauge ikifika kama yule mnaigeria utataka uendelee maana utajiona bado unamudu game.Gauge ikifika karibu na ya yule mnaigeria uache bro[emoji3][emoji3][emoji3].
Bado tunakuhitaji sana.
Mimi sijambo shemeji. Natumaini hata huko kwako kuko salama. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23]
Baharia kazidiwa,hii mechi ni ngumu sana kwake.
Habari ya uzima shem
Amina shem[emoji120][emoji120]Mimi sijambo shemeji. Natumaini hata huko kwako kuko salama. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji818][emoji818]Hili duka lina baisikeli za kila aina [emoji870][emoji870]
View attachment 1263126
Duh!Pengine yawezekana hata upako umepungua pia. Jibapa na upako ni miksa yenye utata kidogo [emoji16][emoji16]
View attachment 1263116