Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Wakulima wote poleni sana
Poleni mliotoka kazini
Wasafiri wote poleni sana..mfike salama
Wagonjwa Mungu awaponye..
Wagonjwa Mungu awaponye..
Mungu atupe jioni njema...
Mungu atupe afya na uzima
[emoji849]View attachment 1263079
Pengine yawezekana hata upako umepungua pia. Jibapa na upako ni miksa yenye utata kidogo [emoji16][emoji16]
View attachment 1263116
Akili za kuambiwa always changanya na zako [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1263118