Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Mtu kaishia sijui darasa la nne sijui la saba anataka kunishauri msomi mahiri kama mimi mwenye degree nne.
Nimesoma na kusoma mpaka nikafundisha vyuo huko halafu ujifanye unajua lolote mpaka uje unipe ushauri!!
Kwanza acha tabia ya kuimba imba nyimbo za kisiasa maana hazilipi, au kama vipi anzisha chama cha siasa ili ugombee uongozi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…