Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
Maringo yao nishakutana nayo#andaeitini wamekufanyaje hao Heslb
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie bado sijapata kitengo hata kimoja hapo[emoji124][emoji124]We uko wapi hapo TH? Isije ikawa ni #1 hapo tunacheza na moto [emoji16][emoji16]
Mimi nishakutana na Maringo RITA, shenzi sana wale watuHeslb ni kweli
Hehehehe![]()
Hizi ndio ofisi 23 ambazo waajiriwa hujisikia na wana nyodo sana
Wadau, Kuna hawa jamaa wanaofanya kazi maeneo haya wanajisikia sana. Wanaona wamefika. Wana nyodo sana mtaani. 1. TISS 2. Bank 3. TRA 4. PCCB 5. Wizarani - Head Quarters 6. Uhamiaji / Boarder 7. Madini 8. TANAPA 9. Bandari 10. Airports 11. Lumumba 12. Ikulu 13. CAG 14. Bungeni...www.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1264073
[emoji14][emoji14][emoji125]
Sisy upo top 5 bila shaka[emoji125][emoji125]Hehehehe
AsanteAmani na upendo vitawale siku yetu...
AminaMungu atupe afya na uzima..
Na we piaSiku iwe njema kwetu wote
Me RITA niliendaga mwaka 2014 nilipata huduma Poa sana... Sijui kwa7bu alikuwa ni ME!!Mimi nishakutana na Maringo RITA, shenzi sana wale watu
ME, hawanaga shida....nilikutana na sista duu mwaka 2017, nilighairi kilichonipeleka kwa mudaMe RITA niliendaga mwaka 2014 nilipata huduma Poa sana... Sijui kwa7bu alikuwa ni ME!!