Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye Ligi Kuu England, Tammy amewaburuza mastaa akibao akiwamo Sergio Aguero wa Manchester City, Pierre-Emerick Aubameyang wa Arsenal, Mohamed Salah na Sadio Mane wa Liverpool, Harry Kane wa Tottenham na Marcus Rashford wa Manchester United.
 
Wakali hao wote hakuna hata mmoja aliyefikisha tarakimu mbili ya mabao kama alivyofanya Tammy msimu huu akiwa na ndani ya uzi wake wa bluu wa huko Stamford Bridge. Kuhusu mastaa Messi na Ronaldo, mmoja ana umri wa miaka 32 mwingine 34 mtawalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…