The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Video za huyo binti zinahuzunisha sana, nimeshindwa kuangalia[emoji24]![]()
Dar Es Salaam: Mhitimu wa kidato cha nne aliyefichwa vifo vya wazazi na ndugu zake apewa taarifa baada ya siku 22
Hatimaye Anna Zambi (16), binti aliyefiwa na wazazi wake wawili na ndugu zake watatu waliopata ajali wakati wakienda kwenye mahafali yake mkoani Kilimanjaro Oktoba 26, 2019 leo Jumamosi Novemba 16, 2019 amefahamishwa kuhusu vifo hivyo. Amewasili nyumbani kwao Goba Dar es Salaam saa 10.30...www.jamiiforums.com