Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Me RITA niliendaga mwaka 2014 nilipata huduma Poa sana... Sijui kwa7bu alikuwa ni ME!!
Mimi kuna sister duu alikua na mmama mmoja hivi walinihudumia vizuri sana.ME, hawanaga shida....nilikutana na sista duu mwaka 2017, nilighairi kilichonipeleka kwa muda
Itakua ndio huyo sister duu wajo 😀😀😀.
Nawasalimu dada zangu.