Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwema?
447908402_154661~2.jpeg
 
Hatimaye Anna Zambi (16), binti aliyefiwa na wazazi wake wawili na ndugu zake watatu waliopata ajali wakati wakienda kwenye mahafali yake mkoani Kilimanjaro Oktoba 26, 2019 leo Jumamosi Novemba 16, 2019 amefahamishwa kuhusu vifo hivyo.
Waweza sema una motihani lakini ukijaribu kumfikiria huyu binti unaniona una afadhali kidogo.

Huyu binti yuko na atakuwa kwenye kipindi kigumu kwa muda mrefu sana.
Anaweza hisi yeye ni sababu ya vifo hivyo vya familia yake.

Anahitaji msaada mkubwa hasa wa kisaikolojia.

Mungu ampe nguvu kwakweli.
 
Sana,natumaini ana ndugu waelewa na sio wale wapenda mali na lawama tu. Mwenyezi Mungu ni muweza yote atamsaidia
 
Back
Top Bottom