Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Man City ilichapwa 3-1 na Aguero ameondoka akiwa na machungu mengi; moja timu yake kuchapwa, lakini pili kushindwa kufunga bao akiendeleza rekodi ya kushindwa kutamba anapocheza uwanjani hapo. Ubabe wake wote Aguero, lakini akifika Anfield anakwama, hana maajabu.
 
Asikuambie mtu, Anfield si mahali pa mchezomchezo, wakati Liverpool wakicheza mechi kibao bila ya kupoteza kwenye Ligi Kuu England, kuna wachezaji mastaa wa maana wameshindwa kufunga kwenye uwanja huo mara kadhaa walipokutana na wakali wa hapo, Liverpool.
 
Nawajua...mmoja napishana nae kila weekdays
Mwingine ndugu yangu
Mwingine nafutaga Mara kwa mara... Sahii nitakuweka hata wewe, utaruhusu? [emoji125][emoji125]
Mimi hatujuani nitakuandikia sifa gani? Mimi nasemaga ukweli tu hakuna kumung'unya maneno ndo maana huwa sikubali kuwa referee wa mtu hivi hivi. Na nikikukubalia basi barua utajiandikia mwenyewe ujisifie wee na mimi nitaongezea aya moja tu au mbili za mifano hai...

Reference letters hizi zinasaidia sana hasa unapoomba scholarship katika vyuo vikuu na mashirika ya nje. Hapa kwetu ni connection na kujuana na watu...
 
Back
Top Bottom