Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Meno(Teeth): Meno ni Moja ya kiungo muhimu Sana kwa binadamu hivyo utunzaji wake ni muhimu sana.
Zifuatazo ni njia nzuri ya kutunza meno na kinywa(mdomo).
1: Piga mswaki kwa uangalifu na angalau dakika 5.
2:Usifungue kinywaji kama soda,bia na zingine kwa meno.
3:Usinywe vinywaji wakat wa kulala kama soda,bia na vingine vyote na Kama umetumia kinywaji bas kunywa maji ili kuondoa mabaki yanayoweza sababisha meno kuoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…