Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mapenzi ni mazuri pindi unapompata umpendea na wewe akakupenda hivyo usilazimishe upendwe na mtu ambae hatakupenda toka moyoni mawake Bali mfanye aone upendo wako kwake na kiss gani unamthamin ili siku moja akupe nafasi ktk moyo wake .
 
Afya ni muhimu Sana hasa kwa lika la ujana ni muhimu kufanya mazoezi ili kufanya uwe na mwonekano mzuri na kuwa kwenye wakati mzuri hivyo fanya mazoezi ya kujenga na sio ya kukuza kifua, hivyo fanya mazoezi ya kujenga mwili wote na kuwa na afya njema .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…