Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mtoto wa Kihispaniola, akuzwa City
Jina lake halisi ni Jose Angel Esmorís Tasende na alizaliwa Januari 4, 1992 katika eneo la Coristanco nchini Hispania. Mpaka sasa ana umri wa miaka 22. Angelino alianza kucheza soka katika klabu ya watoto ya klabu maarufu Hispania Deportivo de La Coruna mwaka 2007.