Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu Mnyakyusa/ Mkisi ana sifa ya kujivunia vyeti vyake.
Wakati wa Bunge la Katiba 2014 aliwahi kuwaponda waandishi wa habari.
Alidai yeye mwenyewe kitaaluma ni mwandishi ( cheti) lakini baada kubaini kuwa waandishi wengi ni vilaza akahamia kwenye sheria.
Jamaa hi kioja [emoji849][emoji849][emoji41][emoji41]
 
Ni jambo lisilowezekana,
Sifa huambatana kukosoana
Kama hutaki kukosolewa usipende kumwagiwa sifa.
 



Coments za wananchi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…