Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Afadhali. Tupumzike na wale wazee wa "You will never walk alone"
FB_IMG_1567472758682.jpeg
 
Kilikuwa ni kikosi cha dhahabu cha gunners
Dennis Bergkamp (Mechi 6)

Fundi wa mpira, Mdachi Dennis Bergkamp alikuwa moto kipindi hicho alipokuwa akikipiga kwenye kikosi cha Arsenal. Lakini, kwa ubora wake wote wa uwanjani na kupiga mabao makali, lakini alishindwa kufanya hivyo uwanjani Anfield.
 
Msituni hakuna maisha kama haya tunayoishi, pesa hazina kazi huko, maana hakuna warembo, hakuna bia, hakuna kubet, wala hakuna beach[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Maombi yako ya aina hiyo ndiyo yanayomvutia mnyakyusa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vurugu za yule Mnyakyusa si za kitoto aisee. Acha tu wasicheze tupumzike. Na wakicheza basi wafungwe angalau. Kha !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom