Hukuwezesha kupata watu au vitu sahihi
Inawezekana leo huna pesa, huna kazi, huna chakula, huna nyumba au mahitaji yako ya msingi, lakini kumbuka kuwa wakati mwingine vitu au watu huja kulingana na muda, hivyo kukosa uvumilivu kutakusababisha ukose vitu au watu hao.