Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Wewe uliefanikiwa sana kwenye umbea umevumilia yapi?
Ukichunguza kwa karibu historia ya watu waliofanikiwa sana utagundua kuwa wamevumilia mengi hadi wakafikia malengo na mafanikio waliyonayo.