ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Dagaa
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Shikiria mama,kijana haeleweki huyo, siajabu akipona akakimbilia kwa mdada wa kichaga Masakiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hajui kama nauguza mgonjwa jamani?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mavi
Kichwa kichafu ukitoka salama hapa. Kweli utakuwa nomaTena alikuwa anatoa pesa kwenye wallet kwa fujo,
Amegawa pombe kwa kila aliyekuwa karibu,
Pesa zingine kagawa tu!