Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Ndio bro,Na kila kitu kikichukuliwa na serikali basi tegemea majanga tu...
Sijawahi hata kwa bahati mbayaUliwahi kuishi Moro mtakatifu Anne[emoji23][emoji23]
Ohoo chief[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1266001
Hujambo Mnyakyusa? Siku Livapuu wakifungwa sijui utanibebea mbeleko gani wallahi !!!
Ili apindue meza uhamishe na kambi mazimaMabaharia, kuna ukweli katika hili?
View attachment 1266004
Sio salamu tu,najua Qur'an kwa kiasiNafundishwa na marafiki zangu, kama wewe ulivyojifinza salaam
Ni Nani uyo dada?
Sijambo shikamoo ..kolomije wazima??
Kuhusu livapuu kufungwa nadhani unaota ndoto za mchana wewe msukuma.
Togwa limeingia nzi
Hahaha sauti iko sawa kabisa mkuu
Asenali vipi tena hawamchukui?Manchester City inatafakari uwezekano wa kuweka dau la kumnunua beki wa RB Leipzig Mfaransa Dayot Upamecano, 21, mwezi Januari. (90 Min)
Picha yangu nilishaipostigi [emoji3][emoji3]
Bei kubwaAsenali vipi tena hawamchukui?