Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Serikali ilishaachishwa na shughuli za kibiashara ili ibakie kutoza ushuru.
Ila kwa serikali ya wasomi wenye degree nne nne yote yanawezekana, maana sisi tulioshia ngumbaru hatuna nafasi ya kuihoji wala kuishauri.
Jukumu letu ni kuisifia tu.
Hivi Airtel si ndio imechukuliwa na serikali au nakumbuka vibaya?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kilimo cha cha watoto kwa nia ya kulijenga taifa la Tanzania kwenye sekta ya utalii
Imoooooo !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
FB_IMG_1547799681257.jpeg
 
Back
Top Bottom