Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Broo bwana😀Imoooooo !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
Broo bwana😀Imoooooo !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
Namjua sana sis. Atapotea tu akija kuonekana hapa miziki kibao halafu kimyaaa. Hakuna cha jibu wala niniUkijibiwa unitag
Kwema kabisaWakuu kwema
Nadhani ni ye yote yule mwenye tabia za wanaume wa Dar japo kundi aliyezaliwa na aliyekulia wanachukua nafasi kubwa zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]Samahani kwa usumbufu wa kuuliza swali mkuu
Wanaposema wanaume wa dar wanamaansha nini haswa?
Aliezaliwa mkoa wa dar?
Aliekulia mkoa wa dar?
Anaeishi mkoa wa dar?
Mkuu wa nyika..Selous game reserve View attachment 1266080
[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu HPV sijamsikia sana.Uvinza ni hatari sana. Nimemaliza kusikiliza ripoti nzima hapa uwii. Hali wala siyo nzuri....
View attachment 1266079