Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

447820761_486351.jpeg
 
Thanks, itabidi nimsome.

Kwahiyo NaCl haishauriwi kabisa?!?!
Sodiamu Kloraidi inaruhusiwa lakini usichanganye madesa sana kwa sababu ukifanya hivyo unaweza kupata strains mbalimbali. Tahadhari zile zile zinazochukuliwa dhidi ya STDs zingine na hapa hizo hizo. Kama una kitalu/kieneo chako unapojipatiaga hiyo NaCl kwa raha zako basi ng'ang'ania hapo hapo usihame hame. Na uwe alert ukiona mabadiliko kooni na mdomoni [emoji16]
 
Back
Top Bottom