Sis salama huko?
Kwahiyo kamdomo kamekaa vile😀😀😀Jero ya halotel[emoji23][emoji23]
Hahahahahahaha,Jaman wafupi tumewakosea nini[emoji23][emoji23]
HeheheeeeHahahahahahaha,
Ukisikia uwiiii ujue kalengwa😀😀😀
Ninakusanya matofali yangu hapa.Heheheeee
Nimejisemea kimoyo moyo ujue kam mdomo kamefumbaKwahiyo kamdomo kamekaa vile😀😀😀
#hayaLetaNamba
Usisahau zege la kutosha kujenga msingiNinakusanya matofali yangu hapa.
Nimeshajenga picha ya kimo, nywele na nanihii ile 😀😀😀
Usiwaze mbali hata.Saa sita nitarudi😀😀😀Usisahau zege la kutosha kujenga msingi
#ukisemananihiiinawazambali hehehee
Mimi napenda sana dada yangu Saint anne anavyokuita msukuma 😀😀😀Sipati picha Mpare akipikiwa chapati kama hizi
Heheheheeeeeheh kaa mbali na kingUsiwaze mbali hata.Saa sita nitarudi😀😀😀
🙏🙏Sis salama huko?
Poleni na hongereni kwa mvua.
Uwe na siku njema!!