The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Hah ila hawa wanaosema tujiajiri na hawajajiajiri wanatuonaje[emoji849]??
[emoji2210][emoji2210]Hadi wewe unasema hivi?
#nidakeChozi?
#HawachiAsioneHii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah Numby wewe.! Nimesoma kwa utulivu kabisa[emoji19][emoji19]
BREAKING NEWS
Tukio linaloendelea sasa ivi hapa tanga mjini maeneo barabara ya 12,katika hali isiyo yakawaida dada mmoja aitwae Nusurat Khamis mweny umri wa miaka 22 amekutwa na vichwa viwili kweny mkoba wake. Aidha dada huyo inaelezwa kuwa alikuwa akitokea maeneo ya Raskazone na alipanda bodaboda had hapa katkat ya jiji lacTanga barabara ya 12, bodaboda ndiye aliyetoa taarifa kwa watu wa usalama kuwa alianza kusikia haruf ambay hakuielewa ikitok kweny mkoba wa huyo dada hali ambayo ilimfanya apate wasiwasi na hiyo ilpelekea tu baada ya kumshusha nakulipwa pesa yake akawastua polis waliokuw eneo hilo. Aidha polis walimfuata na kutaka kumpekuwa ili kujiridhisha lkn dada huyo alikuwa mkali mithili ya mbogo aliejeruhiwa. Aidha baada ya nguvu kubwa kutumika ili kumsachi dada yule alikosa ujanja nakujikuta anakuwa mpole. Baada ya mkoba wake kufunguliwa. Loooh!!! Huez amini vichwa viwili vilikutwa ndan ya mkoba wake kimoja ni kichwa cha cherehan na kingine kichwa cha samak ajulikanae kama kambare.
Sikukutuma usome 😂
Mmmh Siasa hizi,haoni hata huruma kwa waliompigania kufika hapo alipoMeya wa Jiji la Arusha (Chadema), Kalisti Lazaro leo Novemba 19, 2019 amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) #MwananchiUpdates
Watu wamepoteza mpaka maisha eti wanapigania "ukombozi" wa taifa lao. Wakombozi wenyewe ndo hawa. Ogopa sana mwanasiasa aisee !!!Mmmh Siasa hizi,haoni hata huruma kwa waliompigania kufika hapo alipo
Ndio mana The don, ana waita wachumia tumbo....Shwaaiiin zao[emoji36][emoji36][emoji36]Mmmh Siasa hizi,haoni hata huruma kwa waliompigania kufika hapo alipo
Kwa Tanzania hapa nadhani ni Nyerere peke yake ndiye alikuwa anajiamini kabisa kabisa kuwa hanunuliki na aliwahi kusema hivyo katika baadhi ya hotuba zake. Na pengine labda Sokoinne kama maandaeitini mlishawahi kumsikia. Wengine hawa wote wananunulika tu (wachumia tumboooo)Ndio mana The don, ana waita wachumia tumbo[emoji36][emoji36][emoji36]