The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Kweli kabisa, mie binafsi sijawahi kuwa na imani naoKwa Tanzania hapa nadhani ni Nyerere peke yake ndiye alikuwa anajiamini kabisa kabisa kuwa hanunuliki na aliwahi kusema hivyo katika baadhi ya hotuba zake. Na pengine labda Sokoinne kama maandaeitini mlishawahi kumsikia. Wengine hawa wote wananunulika tu (wachumia tumboooo)
View attachment 1266860