Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aki ma nurse hukua na roho mbaya.[emoji23][emoji23][emoji23]..in a maternity hospital earlier nikaskia mama fulani ameulizwa,,[emoji44][emoji44]wapi nguo za mtoto[emoji848][emoji848]ama ulikua umekuja nikufungie na gazeti?[emoji23][emoji23][emoji23].nmekosa hadi nguvu ya kufaint[emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
 
Earlier today,,[emoji5][emoji5]relaxing wth my bae,[emoji3059][emoji8][emoji3059]tukakosa content [emoji16][emoji2956]n she juz asked me "babe umenote ARVs za skuizi zmeongezwa chumvi kuliko za last year??.[emoji44][emoji44][emoji44].??.umewai shikwa na general body weaknesses[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22].
 
464014552_227842.jpeg
 
BREAKING NEWS
Tukio linaloendelea sasa ivi hapa tanga mjini maeneo barabara ya 12,katika hali isiyo yakawaida dada mmoja aitwae Nusurat Khamis mweny umri wa miaka 22 amekutwa na vichwa viwili kweny mkoba wake. Aidha dada huyo inaelezwa kuwa alikuwa akitokea maeneo ya Raskazone na alipanda bodaboda had hapa katkat ya jiji lacTanga barabara ya 12, bodaboda ndiye aliyetoa taarifa kwa watu wa usalama kuwa alianza kusikia haruf ambay hakuielewa ikitok kweny mkoba wa huyo dada hali ambayo ilimfanya apate wasiwasi na hiyo ilpelekea tu baada ya kumshusha nakulipwa pesa yake akawastua polis waliokuw eneo hilo. Aidha polis walimfuata na kutaka kumpekuwa ili kujiridhisha lkn dada huyo alikuwa mkali mithili ya mbogo aliejeruhiwa. Aidha baada ya nguvu kubwa kutumika ili kumsachi dada yule alikosa ujanja nakujikuta anakuwa mpole. Baada ya mkoba wake kufunguliwa. Loooh!!! Huez amini vichwa viwili vilikutwa ndan ya mkoba wake kimoja ni kichwa cha cherehan na kingine kichwa cha samak ajulikanae kama kambare.
Sikukutuma usome [emoji23]
Numbisa naona unatafuta kuchapwa
 
Aki ma nurse hukua na roho mbaya.[emoji23][emoji23][emoji23]..in a maternity hospital earlier nikaskia mama fulani ameulizwa,,[emoji44][emoji44]wapi nguo za mtoto[emoji848][emoji848]ama ulikua umekuja nikufungie na gazeti?[emoji23][emoji23][emoji23].nmekosa hadi nguvu ya kufaint[emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom