Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahaha jiwe gizani
Haya dada.[emoji2210][emoji2210]
#BadiliAvatar
#SitakikumchokozaMpendwa
Tena wamemkomalia kweli kweli. Ila angalau hawaporomoshi matusi ya nguoni kama sisi Wabongo aisee. Sisi siku Jessica wetu ajitokeze aseme maneno kama hayo weeee! Mitandaoni huku kutawaka moto [emoji16][emoji3][emoji3][emoji3] naona wanatokwa na povu
Mapenzi yanaangaliaga basi? Utajua huko mbele ya safari ila usipokuwa na mkono wa mtoto andika maumivu tu...Ndio unaenda kuoa huyo[emoji125][emoji125][emoji125]
Hatari sanaTena wamemkomalia kweli kweli. Ila angalau hawaporomoshi matusi ya nguoni kama sisi Wabongo aisee. Sisi siku Jessica wetu ajitokeze aseme maneno kama hayo weeee! Mitandaoni huku kutawaka moto [emoji16]
Habari ndio hiyo, utatokwa hadi jasho la meno ukijaribu kumridhisha na kabamia kako[emoji23][emoji23][emoji23]Mapenzi yanaangaliaga basi? Utajua huko mbele ya safari ila usipokuwa na mkono wa mtoto andika maumivu tu...