Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SYB habari yako brother [emoji137].
Nakusalimia[emoji2]..nakukumbusha tu jmosi livapuu tunacheza[emoji1787][emoji1787]
Shimba uchague kabisa timu unayoshabikia[emoji23][emoji23][emoji23]..
Tunacheza na crystal palace
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatimae umeanza fatilia ratiba za mechi..welcome ulimwengu wa kandanda
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatimae umeanza fatilia ratiba za mechi..welcome ulimwengu wa kandanda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Najitahidi siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23].
Nitajitahidi niangalie hiyo mechi ili nipate pa kusemea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Safi kabisa,tena anza kukariri majina ya wachezaji

Njia nyepesi anzia wenye sura nzuri kisha fatia wenye sura kama urojo wa akina daemusin kisha wale sura ya sembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…