Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

255652437634_status_0873dd9b87374fa4a0da325575c8b9ad.jpg
 
nimesema watu wa arusha, na wewe unatokea arusha kwa mujibu wa comment zako za zamani
una nini bibi weweeee, ndio nini kudandia gari kwa haraka haraka haliyakuwa hujavaa suruali, utatupiga pichaaaa na flash yenyewe imeunguaaa
We n phalaa sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwahiyo kila aliyepo Arusha meno yake yameungua?
 
Back
Top Bottom