D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
wewe msukuma endelea kula sembe mpaka utoke kiuno.Mi nina wasiwasi na BAK. Huyu Mpemba mnayemtafuta huyu atakuwa kaelemewa na sembe tu hakuna lolote.
wewe msukuma endelea kula sembe mpaka utoke kiuno.Mi nina wasiwasi na BAK. Huyu Mpemba mnayemtafuta huyu atakuwa kaelemewa na sembe tu hakuna lolote.
utamu wa maji ni chanzo chake babuuuuu.Hakuna maji matamu kama haya...
urembo wote huo anasonga sembe.Mboga yapika ugali
kuna mwanasiasa fulani aliwahi kuchomekea au kukabia koti.Ila watu wabaya. Tyson walimuacha hivi hivi bila kumrekebishia vifungo vya koti tena mbele ya hadhi ya kitaifa kabisa...
nimeikumbuka thread fulani jamaa alisimulia humu ndani ya kwamba alilazwa juu ya dari usiku mzima.Naona jamaa amegoma kupigwa exile![]()
![]()
![]()
goli moja linazalisha mapacha watatu.Goli moja si goli [emoji1241]
Usiku mwema wakuu [emoji1241]
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji1241]
Swalama bwa shemeji. Nimekuona leo wete wanywa urojo na juice ya Azam.Hawachi mpendwa na wengi kasoro daemusin kuja hapa mara mojaaaa.
hivi lile pambano lako ulimtandika mpinzani wako round 1 au alikutandika wewe?
kama alikutandika kipigo cha jibwa koko je! na yale meno yaliobakia pia aliyatoa?
umekwenda wete kununua halua na tosiSwalama bwa shemeji. Nimekuona leo wete wanywa urojo na juice ya Azam.
Yes mpendwa napenda halua na kahawa.umekwenda wete kununua halua na tosi
swadakta kaka mkubwa.Apatikane salama malaika huyu![]()
![]()
![]()
halua kama zile za bakhressa ndio unazopenda au zile za wapemba wanazofunga kwenye makuti ya mnaziYes mpendwa napenda halua na kahawa.
king itakuwa amekwenda kumnyoa ndevu kirikuuHaya daemusin amesharudi now ni
Free king
king itakuwa amekwenda kumnyoa ndevu kirikuu
Kama hizo hapo naweza kumaliza chupa ya kahawa.halua kama zile za bakhressa ndio unazopenda au zile za wapemba wanazofunga kwenye makuti ya mnazi
View attachment 1267544
Karibu tena Mpemba weye. Kuna sembe linakungoja hapa Ikungulyabashashiutamu wa maji ni chanzo chake babuuuuu.
hebu acha ulimbukeni na ushamba.
wasukuma muna tabu kweli miaka hii mitano
ndio maana sehemu ya kuvaa kanzu munavaa sare za jeshi.
==================
kwani babu bado unatumia mtungi nyumbani kwako?
Usikimbie huyu mla urojo unamkimbia mpendwaUshafika. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
nimekuja kidemokrasia.Ushafika. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]