Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bao habari nyingine wewe usisingizie Wasukuma. Shigongo ametajirika kwa kuandika habari za watu waliozima wakiwa kifuani halafu we unaleta blah blah za Kisukuma hapa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1267045
[emoji23][emoji23][emoji23] acha kujitetea wewe msukumaBao habari nyingine wewe usisingizie Wasukuma. Shigongo ametajirika kwa kuandika habari za watu waliozima wakiwa kifuani halafu we unaleta blah blah za Kisukuma hapa?
View attachment 1267073
Na yule Mnyakyusa mkorofi akija hapa wallahi nazima data kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] acha kujitetea wewe msukuma
BREAKING NEWS
Tukio linaloendelea sasa ivi hapa tanga mjini maeneo barabara ya 12,katika hali isiyo yakawaida dada mmoja aitwae Nusurat Khamis mweny umri wa miaka 22 amekutwa na vichwa viwili kweny mkoba wake. Aidha dada huyo inaelezwa kuwa alikuwa akitokea maeneo ya Raskazone na alipanda bodaboda had hapa katkat ya jiji lacTanga barabara ya 12, bodaboda ndiye aliyetoa taarifa kwa watu wa usalama kuwa alianza kusikia haruf ambay hakuielewa ikitok kweny mkoba wa huyo dada hali ambayo ilimfanya apate wasiwasi na hiyo ilpelekea tu baada ya kumshusha nakulipwa pesa yake akawastua polis waliokuw eneo hilo. Aidha polis walimfuata na kutaka kumpekuwa ili kujiridhisha lkn dada huyo alikuwa mkali mithili ya mbogo aliejeruhiwa. Aidha baada ya nguvu kubwa kutumika ili kumsachi dada yule alikosa ujanja nakujikuta anakuwa mpole. Baada ya mkoba wake kufunguliwa. Loooh!!! Huez amini vichwa viwili vilikutwa ndan ya mkoba wake kimoja ni kichwa cha cherehan na kingine kichwa cha samak ajulikanae kama kambare.
Sikukutuma usome [emoji23]
Meya wa Jiji la Arusha (Chadema), Kalisti Lazaro leo Novemba 19, 2019 amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) #MwananchiUpdates
Hii umeisoma itakuwa 😁Ndiyo maana nagonga likis kisha natembea is [emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mashabiki wa Manchester United bana....
View attachment 1266882
.Mauricio Pochettino amefanya mazungumzo na mwenyekiti Daniel Levy kuhusu hatama yake katika klabu ya Tottenham. (Telegraph)