Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji36][emoji36][emoji36]Gari ushaliendesha weeee mpaka limemaliza ule upya. Sasa mcheche wa nini?
Akili zetu tunazijua wenyewe tu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani Wanaudhii,Wanajikutaga maisha wameyapatia wapuuzi hawa
We mpole TH huwezi kufanya hivyo.[emoji36][emoji36][emoji36]View attachment 1267023
Mjitahidi kuwaelewesha wanapokosea; na mambo mnayotaka wawafanyie. Kama kweli wanawajali watawasikiliza. Hii tabia yenu ya kuzira tu wala haisaidii na sana sana ndiyo inaharibu mambo zaidi...Yani Wanaudhii,
To be honest mi sipendi kununa nuna, huwaga nasema ukweli ninapoona sijapenda kitu..! I think ni jambo ambalo linanisaidia sanaMjitahidi kuwaelewesha wanapokosea; na mambo mnayotaka wawafanyie. Kama kweli wanawajali watawasikiliza. Hii tabia yenu ya kuzira tu wala haisaidii na sana sana ndiyo inaharibu mambo zaidi...
Main guy wako ana bahati. Wenzako huku unanuniwa hata wiki nunu hupewi halafu hata kosa hulijui [emoji16][emoji16][emoji16]To be honest mi sipendi kununa nuna, huwaga nasema ukweli ninapoona sijapenda kitu..! I think ni jambo ambalo linanisaidia sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JamaniMain guy wako ana bahati. Wenzako huku unanuniwa hata wiki nunu hupewi halafu hata kosa hulijui [emoji16][emoji16][emoji16]