Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tatizo nyinyi biashara wala kuchangamsha mji hamuwezi labla kivua samaki baharini, kuuza juice ya miwa na kuuza urojo Yaani nikiwa huko huwa nasikitika mno.
acha kupindisha maneno mpendwaaaa.

zenji una uhakika wa kutembea muda wowote bila ya kudhurika kwa sababu wazenji hatuna tabia za wizi na kucherewa kulala.
halafu sisi ni waungwana tulioushuhudia ustaarabu kwa zaidi ya karne 1, sisi hatukufundishwa ustaarabu.

huko kwenu kuna jamiii za watu mpaka leo hawavai nguo.
utamkuta mwanamme mtumbo huooooo kama parachute bila ya nguo.
utamkuta mwanamke matiti njeee kama kondooo.
 
Kumbe uko zenji eeh?
Nikija huko Naomba uwe mwenyeji wangu
 
Karibu jemedari[emoji23][emoji23]View attachment 1267619
huo ndio msosi utakaokufanya uongeze akili na maarifa na si sembe.
wazungu hawali sembe
waarabu hawali sembe
wachina hawali sembe
wakorea hawali sembe
wahindi hawali sembe
warusi hawali sembe


zamani zenji tulikuwa hatuli sembe ila tulipoungana ndio tumeanza kula sembe
 
breaking newziiiiii:
licha ya kupanda kwa bei ya sembe huko tanganyika kwa washamba lakini cha ajabu bei ya sembe huko zenji kwa wastaarabu imeporomoka kwa asilimia 90.

  1. sembe tupu na maji ya mto = shilingi 200
  2. sembe na konokono = 150
  3. sembe na maji ya mfereji = 250
  4. sembe tupu kwa maji ya kisima = 170
  5. sembe kwa maharage na maji ya kunawa unapewa = 800
hayaaa ukinunua sembe kwa maharage unazawadia na mfuko wa koroshooooo kutoka mtwara.
cha ajabu wazenji bado wamelitelekeza theembeeeee.
vichwa bapa vinatutosha, vichwa vikubwa na virefu kama spika za redio bakini navyoo
 
70' Zanzibar 0-4 Tanzania Bara ⚽Donisia Minja 25, 55 ⚽Diana Lucas 31 ⚽Philomena Daniel 69 #CECAFAWomenChallengeCup @Cecafafootball1 azamtvtz @CAF_Online @FIFAWorldCup TFF TANZANIA on Twitter
anzisheni michuano ya nage ndio mutaona ubora wa wanawake wa zenji.
wanawake wengi wa bara hawana tofauti na wanaume ndio maana mukatufunga.

mwanamke amekakamaa misuli kama rambo.
ndio maana wanawake wengi wa bara hawajui kupika, jiko halitaki nguvuu bali linahitaji maarifa na ubunifu.
mwanamke wa bara akipika wali unakuwa manjanoooo kama ametia binzari ya njano


tazama hao wanawake wamenyoa viduku kama majambazi
 
Hahaha nacheka ila hamna kitu nimeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…