moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
New space shuttle
huo ndio msosi utakaokufanya uongeze akili na maarifa na si sembe.
wazungu hawali sembe
waarabu hawali sembe
wachina hawali sembe
wakorea hawali sembe
wahindi hawali sembe
warusi hawali sembe
mijitu meusi inakula sembeeee ndio maana imekuwa na fikra za kishetani.
kazi yao uchawi.
zamani zenji tulikuwa hatuli sembe ila tulipoungana na washamba nyinyi ndio tumeanza kula sembe
Liver Tena nikose![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani ile mechi tumeanza na kupigwa..yaliporomoshwa matusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Yaani huwa nacheka tu kimyakimya.
Kuna wachambuzi wazuri wa mpira kule,huwa nikiingia natoka na Kitu.
niombe msamaha kwa kosa lipi.
sisi tumewafundisha kukoga kwa sabuni.
tumewafundisha kunywa chai na zamani ilikuwa hata chai hamunywi. muda wote munawaza jembe kama udongo.
halafu sasa tukishawaozesha mabinti zetu unakuta muda wote amshughulikie mwanamme asiyejielewa.
akitoka kazini ananuka jashoooo kama mbuzi, basi mpaka kukoga akumbushwe na mwanamke.
Nyie mmefungwa juzi hapa na kitimu Cha ajabu,licha ya kusajili wachezaji kwa mbwembwe.Nisomee hiyoView attachment 1267674
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mashabiki wa livapoo ndiyo baba na mama wa kila kitu ndani ya uwanja.
Matusi, mateso, vichambo,makofi nk, yote utayapata.
Akaulizwe Messi, goli alikuwa halioni [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1267687
Kanipa mashaka alivyoanza kutaja Sweta la nembo ya tz[emoji23]Huyu mwenyeji wako huyu mh!
Ukienda kuishia kufakamishwa "urojo" usilalamike [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nitajie app nzuri niangalie aisee.Uje hapa ofisini kwetu tufurahie timu pamoja na wadau [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Tukipata ushindi tuendelee na ule mchezo wa kutupiaView attachment 1267661
Nyie mmefungwa juzi hapa na kitimu Cha ajabu,licha ya kusajili wachezaji kwa mbwembwe.
Simba maneno mengi kama waimba taarabu.
Hivi mkisemaga bara mna maanisha Dar mpaka Kigoma au Dodoma mpaka Musoma?
Huwa nawashangaa nyie ndugu zangu, yani mpaka watu wa Dar mliwafundisha kula, kuvaa nk.
Mnatoa wapi hiyo?
Wala hata sijampenda nataka kujua tu ni naninoooooo
wachumba wameshakutosha
nakula wali ndio chakula pendwaHata usipokula sembe kamwe hutakuwa mwarabu wala mzungu.
Wewe ni gozi tu[emoji23]
Mnaishia kuzimia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpira lazima uende samabamba na maneno.
Laiti mchezo wa soka ungechezewa chumba ungekosa maneno.
Michezo yote ya hadharani lazima iwe na maneno, kama huko Yanga mmekosa mtu wa kupiga domo ni juu yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
lee byung hun.Wala hata sijampenda nataka kujua tu ni nani