Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images (2).jpeg

💗
 
Watafiti walishasema wenye kelele mtandaon ni wakimya sana uraiani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sio mkimya Sana.
Ni bahati mbaya tu Sina spidi ya kuongea mdomoni[emoji1787][emoji1787]..ningekuwa nayo walahi wangenikoma[emoji23][emoji23][emoji23].
Ila kucheka najua...yaani nacheka haswaa
 
Huwa naingia kwenye thread ya man u Kila wakicheza [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani huko huwa natamani nizimie kwa kicheko.
Unakuta"oh Pogba mzembe"utadhani Pogba atacheza mwenyewe ashinde
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiniambie hujawahi ingia uzi wa liver wakifungwa au kuchelewa kushinda,wanamatusi hao hadi kapten wao wanamuita hendoshoga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiniambie hujawahi ingia uzi wa liver wakifungwa au kuchelewa kushinda,wanamatusi hao hadi kapten wao wanamuita hendoshoga
Liver Tena nikose![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani ile mechi tumeanza na kupigwa..yaliporomoshwa matusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Yaani huwa nacheka tu kimyakimya.

Kuna wachambuzi wazuri wa mpira kule,huwa nikiingia natoka na Kitu.
 
Muongo sio kweli omba msamaha😁😁
niombe msamaha kwa kosa lipi.
sisi tumewafundisha kukoga kwa sabuni.
tumewafundisha kunywa chai na zamani ilikuwa hata chai hamunywi. muda wote munawaza jembe kama udongo.

halafu sasa tukishawaozesha mabinti zetu unakuta muda wote amshughulikie mwanamme asiyejielewa.
akitoka kazini ananuka jashoooo kama mbuzi, basi mpaka kukoga akumbushwe na mwanamke.
 
Back
Top Bottom