Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kujua majina kazi nyepesi anza kwanza kuangalia sura zao kisha utaona handsome hao hao anza nao kufatilia majina yao na uchezaji wao.Niambukizeni na mimi angalau niwe shabiki damu wa mpira.
Timu yangu simba ila sijui hata jina moja la mchezaji.
Ila huyu kagere sijui ni kijana au mzee anyway utawazoea tu. Pia usikose kusoma soma habari za michezo hasa mwanaspoti online