Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Liver Tena nikose[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani ile mechi tumeanza na kupigwa..yaliporomoshwa matusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Yaani huwa nacheka tu kimyakimya.

Kuna wachambuzi wazuri wa mpira kule,huwa nikiingia natoka na Kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mle wana presha sana. Kule man u asilimia kubwa wanaotukana ni mashabiki wa timu pinzani. Wakati kwa liver wanatukanana wao kwa wao
 
Nilisema Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawachi chondechonde usimsikilize huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
niombe msamaha kwa kosa lipi.
sisi tumewafundisha kukoga kwa sabuni.
tumewafundisha kunywa chai na zamani ilikuwa hata chai hamunywi. muda wote munawaza jembe kama udongo.

halafu sasa tukishawaozesha mabinti zetu unakuta muda wote amshughulikie mwanamme asiyejielewa.
akitoka kazini ananuka jashoooo kama mbuzi, basi mpaka kukoga akumbushwe na mwanamke.
Wewe endelea kucheza bao huku ukinywa kahawa hapo wete.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio mie jamani ila nimeona sehemu wanamsema kuhusu mdomo wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana SI wewe ulisema masikio makubwa sijui Kama Nini vile[emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mle wana presha sana. Kule man u asilimia kubwa wanaotukana ni mashabiki wa timu pinzani. Wakati kwa liver wanatukanana wao kwa wao
Ndiyo.
Liver huwa wanatukana wao kwa wao.
Huwa wananipa Raha Sana..
Wakianza kumnanga kocha Sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..Mara mbaguzi..hayo yote huja tukizidiwa Sana uwanjani
 
Back
Top Bottom