Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mpare bingwa wa kudaka chozi njoo huku unabipiwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
#sijatajajinaView attachment 1267555
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Najitahidi siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23].
Nitajitahidi niangalie hiyo mechi ili nipate pa kusemea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu mwenyeji wako huyu mh!Kumbe uko zenji eeh?
Nikija huko Naomba uwe mwenyeji wangu
KaribuNiambukizeni na mimi angalau niwe shabiki damu wa mpira.
Timu yangu simba ila sijui hata jina moja la mchezaji.
Nisomee hiyoAchana na timu zisizoeleweka[emoji12].
Simba timu gani bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kwanza msemaji wao manara anazimia Kila siku[emoji23][emoji23][emoji23].
Njoo yanga [emoji7][emoji7].
Kwanza bongo hakuna timu[emoji2].
Karibu Liverpool [emoji7][emoji7][emoji7]"kamwe hutatembea pekeyako"