Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,845
[emoji23][emoji23] hatari sanaLazima uwe msafi kiatu kikipata vumbi unafuta haraka [emoji16]
Habari ya leo hii?
Salamu bro!
Kevin Durant (KD) au ni Pogba?
Sis aione hii. This girl is on fire [emoji444][emoji444]
Mashavu haya mh! Sijui nako kamefanya plastic surgery au ni athari za uhenga?
Tatizo nini? Madeni tena ama?
Shwaini zenu. Mtakaporomoshea magoli katimu ka watu halafu mtakuja hapa na mbwembwe zenu. Hasa kale Kanyakyusa kanashabikia dah. Inabidi tu mtu uzime data kwa mudaCrystal Palace