Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Numbisa nakusalimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwite na yule mwenzio mliyekuwa mnanitunishia misuli ya crystal palace[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Niliwaambia Mimi kwamba tutawafunga tu,mkasema ooh nadhani crystal palace wamejaa tu vitambi[emoji14]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
SYB popote ulipo nakusalimia [emoji137][emoji137][emoji137]
Hivi siku ile ulichagua timu gani vile???
Naendelea kuomba Mungu utaje livapuu[emoji14][emoji14]Maana Bila hivyo utaumia Sana leo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawachi nilikuchagulia timu ya kushangilia.
Livapuu ndo timu ya kushangilia...huko kwingine mama utapoteza njia.
Achana na timu vilaza fc[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi bana tangu baridi iingie duniani au kwa kiswahili kingine tangu kamvua kaongeze kasi UZI UMEPWAYAAAA KISA NA MKASA

1. KILIMO CHA BINADAMU


2. WATU WAMEELEWA SOMO LA UJI.(FAIDA ZA UJI)

3. PIPI ZINATAFUNWA SI KIDOGO


4. MABLANKET YA KUPUMUA KAZINI

5. KINA BAE WAMEKABA HADI PENATI BAASI TABU TUPU
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo tule maparachichi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nawaambia Kila siku hakuna timu Kama Liverpool [emoji1787][emoji1787]
Nizime data au nisubiri kidogo? Mnacheza lini?
 
Leo kwani imeshinda ipi niwe upande huo si unajua mimi mhenga sihitaji presha [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilikwambia Mimi toka siku ile kwamba chagua livapuu.
Yaani ukiwa livapuu huna haja ya kuuliza kama tumeshinda au hatujashinda.
Utakuwa na kazi ya kuuliza tu kwamba tumeshinda kwa magoli mangapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom