Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilalie maparachichi mi nimekuwa Mnyakyusa? Njoo hapa kona ya Petrobas Masaki barabarani tu kuna kachimbo ka Wabrazil utanikuta hapo. Livapuu shwaini zenu kabisa !!!
 
Kitimu cha kichovu mlichokionea leo ndo mnajivuna? Hata aibu hamna...
View attachment 1270554
Hembu vileteni hivyo viasernal tuone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kwani timu gani ilishatufunga sisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kaendelee na maombi[emoji23][emoji23][emoji23]
Utaomba Sana mwaka huu[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

mmebahatisha
Hivi wapinzani mna Nini lakini?
Kama tunajua tunajua tu,kwa hiyo sisi mechi zote tunabahatisha???
Tungeshinda Kila siku??
SYB piga makofi tafwadhali [emoji23][emoji23]
 
Nilalie maparachichi mi nimekuwa Mnyakyusa? Njoo hapa kona ya Petrobas Masaki barabarani tu kuna kachimbo ka Wabrazil utanikuta hapo. Livapuu shwaini zenu kabisa !!!
View attachment 1270553
Ndiyo Maana hamshindi[emoji23][emoji23]
Yaani mkale vitu vilaini hivyo halafu tukashindane kushabikia mpira na Mimi ninayefukia sembe la kutosha na parachichi[emoji23][emoji23][emoji23].
Mtasubiri sana.

This is livapuu[emoji7][emoji3590][emoji123][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Teh teh teh [emoji23][emoji23][emoji23]Wameshazima data kwa muda
 
Teh teh teh [emoji23][emoji23][emoji23]Wameshazima data kwa muda
Nilishafika hivi.
Siondoki Hadi wamerudi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walitaka waone nawoki aloni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…