Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Kikubwa tumeshinda Bila kujali Ni dakika za kulala au kuamka salama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hongera kwa ushindi huu wa dakika za lala salama.
Cha muhimu ni point 3View attachment 1270560
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Basi bana tangu baridi iingie duniani au kwa kiswahili kingine tangu kamvua kaongeze kasi UZI UMEPWAYAAAA KISA NA MKASA
1. KILIMO CHA BINADAMU
2. WATU WAMEELEWA SOMO LA UJI.(FAIDA ZA UJI)
3. PIPI ZINATAFUNWA SI KIDOGO
4. MABLANKET YA KUPUMUA KAZINI
5. KINA BAE WAMEKABA HADI PENATI BAASI TABU TUPU
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka mimi Haki ya Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nizime data au nisubiri kidogo? Mnacheza lini?
Wale wote mliosubiri kuona nikiwalk alone mkuje hapa Dadeq [emoji23][emoji23][emoji23]
SYB popote ulipo nakusalimia [emoji137][emoji137][emoji137]
Hivi siku ile ulichagua timu gani vile???
Naendelea kuomba Mungu utaje livapuu[emoji14][emoji14]Maana Bila hivyo utaumia Sana leo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nitashangilia yako na ya Numbisa pamoja [emoji16][emoji16]
Najua ila kwa mechi ya leo alisema atashabikia crystal palaceNumbisa ni Man United
Wewe mama njoo livapuu tuBradha mpendwa upo timu gani nikuje niwe upande wako [emoji16][emoji16]
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Basi bana tangu baridi iingie duniani au kwa kiswahili kingine tangu kamvua kaongeze kasi UZI UMEPWAYAAAA KISA NA MKASA
1. KILIMO CHA BINADAMU
2. WATU WAMEELEWA SOMO LA UJI.(FAIDA ZA UJI)
3. PIPI ZINATAFUNWA SI KIDOGO
4. MABLANKET YA KUPUMUA KAZINI
5. KINA BAE WAMEKABA HADI PENATI BAASI TABU TUPU
Leo kwani imeshinda ipi niwe upande huo si unajua mimi mhenga sihitaji presha [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilikwambia Mimi toka siku ile kwamba chagua livapuu.
Yaani ukiwa livapuu huna haja ya kuuliza kama tumeshinda au hatujashinda.
Utakuwa na kazi ya kuuliza tu kwamba tumeshinda kwa magoli mangapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilalie maparachichi mi nimekuwa Mnyakyusa? Njoo hapa kona ya Petrobas Masaki barabarani tu kuna kachimbo ka Wabrazil utanikuta hapo. Livapuu shwaini zenu kabisa !!!
View attachment 1270553
Nilalie maparachichi mi nimekuwa Mnyakyusa? Njoo hapa kona ya Petrobas Masaki barabarani tu kuna kachimbo ka Wabrazil utanikuta hapo. Livapuu shwaini zenu kabisa !!!
View attachment 1270553
moudgulf hivi SYB yuko wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa Ni bingwa sana wa kutuombea njaa sisi.
Sasa njaa inampata mwenyewe[emoji1787]
Kitimu cha kichovu mlichokionea leo ndo mnajivuna? Hata aibu hamna...
View attachment 1270554
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]