Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

This is Livapuu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Safi Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ongeza sauti Tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nguvu ya ushindi na maparachichi hii[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mshambuliajiwa Real Mbelgiji Eden Hazard, 28,amefichua kuwa Paris St-Germain iliwahi kuwasiliana nae kuhusu suala la kutaka kumsajili, hatahivyo amesema kuwa atarejea Ufaransa kuchezea klabu yake ya zamani Lille. (L'Equipe - in French)
 
Ole Gunnar Solskjaer amebeza tetesi kuwa Nemanja Matic anajiunga na Tottenham Hotspur baada ya mchezaji huyo wa safu ya kati wa Manchester United, 31, kujibu katika mtandao wa kijamii ujumbe uliodokeza kuwa ana mpango wa kuungana na Jose Mourinho. (Metro)
 
SYB popote ulipo nakusalimia [emoji137][emoji137][emoji137]
Hivi siku ile ulichagua timu gani vile???
Naendelea kuomba Mungu utaje livapuu[emoji14][emoji14]Maana Bila hivyo utaumia Sana leo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sina timu ila huwa nina tabia ya kushabikia timu zinazofungwa na huwa sipendi kabisa timu zinazoziona zenyewe ndiyo Alpha na Omega. Hata maishani hivyo hivyo. Huwa sipendi kabisa akina Kiduku Lilo wanaojivunia iPhones zao na ma Range Rovers. Ndo maana Livapuu mwaka huu ni adui zangu wakubwa hasa kutokana na mashabiki wake waliojaa dharau na kujiona. Halafu wanafuatia Man City japo nao mwaka huu wanasuasua. [emoji16][emoji16]
 
Mnaidis liver ila mnaikubali kiaina
Mnaikubali kiaina[emoji7][emoji7][emoji7](sauti ya chid Benz)
Ye aye liva ing'ae...SYB ,Numbisa stand up put your hands up[emoji443][emoji443][emoji444][emoji444]
[emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii Ni liver sister [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo raha sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nazima data. Nitarudi baadaye mzuka ukimuisha huyu Mnyakyusa. Huko aliko sijui atakuwa na hali gani wallahi. Akipoa mtu anishtue pulizi [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…